Tatizo la Uongozi wa Samia na watu aliowaweka karibu nae ni vile wametengeneza himaya na kujiaminisha kuwa wanamlinda Samia,kwa kufanya hivyo wanamuharibia na kutweza utu wake sana.Kuna mambo hawataki Samia ajue ukweli wa mambo ulivyo,mfano ni ile speech yake kwa Wazee baada ya Uchaguzi.Samia...
Mkuu,Hamna Watanzania wanachoweza kubadili??Mbona tayari mnalipia PR ,tena Kampuni ya Marekani ili isafishe mambo.Watanzania hawa mnaowaogopa na tumia propaganda kibao kuwagawa,kutengeneza vyama vya upinzani fake,na stress kibao wanazowapa unasema hawana wanachoweza kubadili??Watanzania hawa...
Maneno matamu ili kuwatuliza Watanzania.Matendo na Maneno au slogans kama Kazi na Utu ambazo hazireflect uhalisia wa kile kichaendelea Tanzania ni Hadaa na udanganyifu.Matendo yanatoa taarifa za yale ambayo ni Muhimu kwa Serikali..Watu wasio waadilifu wako Serikalini na bado wanapewa teuzi kila...
CCM wao ndio wamekuwa mstari wa mbele wa kufanya Propaganda..Projection ndio silaha yao..Wanashutumu wengine juu ya mambo ambayo wao CCM ndio wanayafanya,Mabaya yao wanasogezea wengine.Wanafanya hivyo kukwepa kuwajibishwa,kupumbaza watu na kuondoa fucus kutoka kwenye maovu yao then Wanatengeneza...
Kupoteza muda kufanya crisis management kwa kuanzisha Wizara ya Vijana, kukamata watu ambao hawana hatia na kuwapa kesi feki za Uhaini halafu unasema tumewapa msamaha ni michezo ya Siasa chafu ya jinsi ya kufake upatanisho.
Kila kitu kiko wazi, siku hizi Watanzania wanasoma.
Mpaka sasa karibu kila mtu anafahamu crisis management inayofanyika..
Wanapoteza Pesa nyingi kufanya PR laundering, wamejaribu kubadilisha story kwa kuita kilichotokea tarehe 29 Vurugu, binafsi naona imeshindakana.
Wamejaribu kufanya distraction na kufanya tupoteze munkari wakuongelea...
Wanataka tuache kuongelea kilichotokea tarehe 29 October,account fake nyingi sana zimemwaga kwenye Social Media kwa kazi Maalumu.Makonda anataka extra Bilion Mbili
Hivi wakati wanavakia nyumba ya Polepole Ina kaana majirani hawakusikia kelele hata kidogo?Au walilipwa na kuambiwa wabaki kimya mpaka zoezi likamilike?
Hii wameiga kwa Ruto 🇰🇪,Ruto alikuja na accusation kuwa Ford Foundation wamewalipa waandamanaji,Ford Foundation walikanusha na Aljazeera walisema Ruto alikuwa anakwepa kuwajibishwa.Wanataka kukwepa uwajibikaji na pia kutaka Watanzania wasiwaamini wanaohamasisha watu kuandamana
Yes,Mara walikuwa hawajui Kiswahili Mara waandamanaji walikuwa na silaha,video ziko online,watalipa watu fedha ili wanunue kesi ila kipindi hiki hawawezi,Watanzania wamejifunza jinsi ya kupambana na uovu wa CCM,wanafahamu kuwa Ushahidi ni muhimu sana..
Yupo kwenye mkakati kubadilisha “Narrative”Lengo lake ni kufanya waliokuwa wanaandamana ndio walikuwa wauwaji na waharibifu wa rasilimali za Nnchi,ndio maana Mwigulu na CCM wote wanakazia hizo point,wale wauwaji wenye silaha hawaguswi wala kuongelewa,wakiwaongelea wanawafanya ni Wahanga,Polisi...
Hao wanaipinga mpaka Quran takatifu,Quran ipo wazi linapokuja suala la Haki,na nini kianze kati ya Amani au Haki,lakini wao Bakwata wanapinga…Wanatumika kama vile Mwamposa na wengine wanavyotumika,tusiwaingize Waislamu wote kwenye hizi mambo,pia hawa waliotumwa online kusambaza huu upuuzi nao...
Tatizo hata ukiweka ukweli wao bado watapinga,tunapambana na watu ambao facts hazina maaana yoyote kwao,si tu hawa Bakwata,CCM na Serikali yao wote hiyo ndio tactic yao,Kila kitu wao wanapinga na kujifanya wao ndio Wahanga na Wahanga ndio wenye tatizo,Tupambane kuelimisha Watanzania wenzetu ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.