Ukweli ni kwamba hatuhitaji kupangia. Tuko huru tunahitaji kupanga mambo yetu wenyewe na kuyatekeza . Ambaye hayuko katika falsafa hii basi ajifunge jiwe shingoni akajitupe Bahari ya hindi.
Viongozi wa nchi yetu wa kipindi hiki wana uelewa wa kutosha na wamebobea . Tunasema Tanzania Kwanza. Hilo ndo la msingi. Hivyo Mgeni yoyote ambaye hana u-Tanzania kwanza huyo hatufai hata kama wangeludi kila siku we do not care and what we do is Tanzania first. Ndio maana nasema hakuna...
Hahaha hahahah. Mamluki Mtapata Taab sana na inawezekana siku Moja mkafa na Pressure. Sisi Tunaoelewa wenye ufahamu wentu tunaona nchi inakwenda Vizuri. Hizi kiki za Properganda tena za Kukodi kutoka kwa watu wengine kuongea mpaka mnatoa Povu tena kupinga Maendeleo ambayo yanaonekana wazi katika...
Hahahahahaha. Yuko vizuri Anko tulijisahau sana wacha atukumbushe. Rais wangu yuko Vizuri shida ni kwamba hamtaki kubadilika au mlitaka waendelee kulipwa mishahara watu ambao walikua hawafanyi kazi na wala hawana sijui nisemeje. Mbona wanafunzi walikua wanaandamana na kipindi hiki cha miaka 3...
Tatizo la Wapinzani Siku hizi Mnajipinga hadi Nyinyi wenyewe. Acha Mjomba aitengeneze Inchi. Hapa ni Kazi tu( Somo la kuisoma namba limeeleweka naona). Rais wangu Mimi namuelewa sana na namuomba aendelee na wembe huo huo.
Rais yuko vizuri kwanza ameonesha kuifaham Korosho Vizuri sana pia anafuatilia hata bei huko zinapouzwa ndo maana akatoa msimamo wa bei kuwalinda wakulima wetu. Ninyi mnataka wauze kwa hasara ili msimu ujao wasirudie kulima tena?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.