Recent content by Amaira

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Orodha ya kampuni za kubeti Tanzania

    Mm nimeweka elf 5 nikasema ni jaribu ikaliwa mpaka ikafika elf 2 nikataka nirejeshe elf 5 ni withdraw kijasho kilimitoka nikaamua niachane nayo nikatoa hio hio elf 2 nikasema sifanyi tena aviator
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalizo: Chonde Chonde Makolo msing'oe viti mkifungwa kwa Mkapa leo!

    Huo ndio uhalisia wa timu yenu bila ndumba haiendi ila ukweli ni kwamba mkikutana na timu ambayo ni ngumu na wana uzoefu hautoboi tutaona kama utavuka robo kwa style hiii
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eng Hersi mwache Mzize akamalize soka lake Wydad, unamuharibia maisha

    Nyie kama nani mpaka mtulazimishe kumuachia mzize yanga wenyewe wana malengo yao yaaani umuuzie silaha adui yako embu msitake kulazimisha mambo tengenezeni timu yenu ajiri wachezaji halafu muwauze kiholela
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Che Malone Fondoh ndiye mchezaji atakayeamua mafanikio ya Simba msimu wa 2024-25

    Kama mechi moja ina reflect timu moja kuwa bingwa basi hata singida black stars watakuwa bingwa kama mlivyojiwekea maaana na yeye kashinda 3-1 na mpira mzuri wana kiwango hata msimu uliopita simba alishinda mechi ya kwanza jee alichukua bingwa ngoja tuone baaada ya round ya kwanza kuisha hiii...
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

    Hivi mnaijua forex vizuri yaaani hii kitu ni hatari sana
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MABINGWA WA NCHI:YOUNG AFRICANS

    Ogopa sana kuwa mjinga wakati una akili zako timamu,Na ogopa sana kuwa mtumwa wakati uwezo wa kujitegemea unao.Ni wivu tu ambao umejaa na husda ambazo zinawatafuna Nzala ambao hawana wanachokijua.Topic kubwa wiki mbili zilizopita Nzala wengi walisema Clatous Chama ni mchezaji ambaye hakuna...
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mashabiki wa Simba mje mtoe maoni kuhusu kikosi hiki

    𝗠𝗔𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔 𝗪𝗔 𝗡𝗖𝗛𝗜 Ogopa sana kuwa mjinga wakati una akili zako timamu,Na ogopa sana kuwa mtumwa wakati uwezo wa kujitegemea unao.Ni wivu tu ambao umejaa na husda ambazo zinawatafuna Nzala ambao hawana wanachokijua.Topic kubwa wiki mbili zilizopita Nzala wengi walisema Clatous Chama ni mchezaji...
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

    Kiko wapi na mwakani bado yupo msimu ujao mtakoma mpira wa sasa ukizembea tuuu unaweza kaa hata miaka kumi bila ubingwa hata uwe mkongwe kiasi gani
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye leo nimejiridhisha tatizo la Simba ni Viongozi

    Mechi za kimataifa kufungwa nje ndani na alahly kutoshinda game hata moja hatua ya makundi ni figisu za board ya ligi wasilete sababu zisizokuwa na mashiko wala maaana
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    HABARI WANA YANGA!? Leo tumeshuhudia wote makundi yalivyopangwa..Tumeona Yanga vs Mamelodi. ...pasipo kuogopa uwekezaji wao kama club !! lakin hata sisi Yanga tuna uwezo mkubwa ...uwezo wetu unaanzia kwenye mfumo wa uendeshaji wa Club yetu..Yanga sc...Tumepata viongoz wachapa kazi na wabunifu...
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga itaacha lini soka la janja janja?

    Na wewe pia tutegemeee umfunge magoli 6 ulizomfunga jwaneng uwafunge alahly petro de luanda na Mamelodi
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii kauli "Simba dhaifu" inatugharimu sana Yanga

    Wakati yanga ilivyofungwa na belouizdad algeria watu wakasema hatuwezi kwenda popote pale kipindi hicho kwann hukuanzisha nyuzi yoyote ile simba walivyoanza kutuponda
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuweke ushabiki pembeni: Hatua ya Robo Fainali ni ngumu kuliko tunavyopiga hesabu za vidole na kujifariji

    Tarehe 13 mwezi huuuu
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utabiri wa Droo Robo Fainali: Yanga vs Mamelodi; Simba vs Al Ahyl

    Ukiachana na kufungwa haswa petro de luanda hajaruhusa hata goli moja kwenye nyavu zake
Back
Top Bottom