Ni mradi upi wameboronga kaka weka mifano.
Na unapotoa mifano uweke na cash flow ilivyokuwa.....maake isije kuwa serikali hailipi kwa wakati halafu uwatake TBA wakamilishe ujenzi kwa wakati
1. Viko umbali wa 4km kutoka lami au 4km kutoka Dar es Salaam Zoo au 14km kutoka Kibada centre ama 23km kutoka ferry
2. Vimepimwa tayari kwa hati
3. Unaweza lipia hadi hati halafu tukakutafutia
4. Barabara pana za size ya mita 15 hadi mita 30 kwa upana
5. Umeme umefika
6. Bei zetu ni...
Miradi yote ipi? Ndugu yangu mambo ya nchi/serikali sio rahisi kuyajua
Na sio unayoyaona basi unayajua.
TBA katika taasisi zilizofanya vyema 2015 to 2020 imo kwa taarifa ya serikali. Fuatilia hata taarifa ya CAG utaona hii taasisi imeboronga au la
Mimi naifahamu TBA kwasababu kuna mahali...
Nimekusoma ila sijaelewa unajadili nini?
Unajaribu kuumbia umma unazijua taasisi hizi mbili halafu hujui chochote.
Watanzania acheni kuimba ngonjera jielimisheni mambo muwe mnayajua kiundani.
TBA hawezi kupewa kazi ya ukandarasi kama sio Mkandarasi ungelijua hili usingesema neno.
Mimi siko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.