Recent content by always am a Winner

  1. A

    Ushahidi kuwa binadamu tumeumbwa na hatujatokea tu

    Kujua evolution ndogo ndogo kama hizo (kama zipo) bado hakuondoi uwepo wa Mungu. Je kama Mungu aliruhusu some kind of tiny evolutions kwa sababu mbalimbali? Yaani kwa nini tumuondoe Mungu wakati tunapoongelea evolutions? Kwani haviwezi kuwa pamoja?
  2. A

    Je? Wajua dunia yetu ni ndogo kiasi gani?

    Aisee umenifanya nicheke kwa sauti kama mwehu
  3. A

    Ushahidi kuwa binadamu tumeumbwa na hatujatokea tu

    Nothing makes more logic than creation. Mageuzi ni muujiza haswaa. Ni rahisi kuamini creation kuliko kuamini evolution. Chaos can not create order. Give me one verifiable evidence where Chaos (Randomness) has created Order! Only 1. Any 1. Please. Then, I will accept.
  4. A

    Ushahidi kuwa binadamu tumeumbwa na hatujatokea tu

    Kwani ni lazima tufanane na Mungu kimaumbile? Sijawahi kumuona Mungu, sidhani kama tunafanana kimaumbile, ila nachojua ni kuwa kufanana ni zaidi ya maumbile. Tumefanana na Mungu katika utashi na uwezo wa kujua jema na baya.
  5. A

    Ushahidi kuwa binadamu tumeumbwa na hatujatokea tu

    Nature imepata wapi akili hiyo?
  6. A

    Ushahidi kuwa binadamu tumeumbwa na hatujatokea tu

    God created Science. God created nature!
  7. A

    Ushahidi kuwa binadamu tumeumbwa na hatujatokea tu

    Nimetumia biblia kwa sababu ndo kitabu ambacho nipo confortable nacho. Unaweza tumia kitabu unachokiamini.
  8. A

    Ushahidi kuwa binadamu tumeumbwa na hatujatokea tu

    Mambo mengine Mungu ameyaacha ili tuya explore. Tatizo la wanasayansi ni kuwa kila waki explore badala ya kumuamini Mungu, wanampinga. Wanahisi kama wamevumbua wao wenyewe bila msaada wa Mungu.
  9. A

    Ushahidi kuwa binadamu tumeumbwa na hatujatokea tu

    Wapi nimekuchanganya? Plz niambie tusaidiane.
  10. A

    Ushahidi kuwa binadamu tumeumbwa na hatujatokea tu

    Nimeelewa kuwa wameiga jongoo kutengeneza treni.
  11. A

    Ushahidi kuwa binadamu tumeumbwa na hatujatokea tu

    Kwa kifupi una support evolution. Evolution is not a fact, its a theory. Mtu kutunga theories na philosophies zinazovutia hakufanyi theory kuwa uhalisia. Mtu kutunga hadithi nzuri sana hakumaanishi kuwa matukio ya kwenye hadithi yamewahi kutokea. Evolution is still a theory, not a FACT...
  12. A

    Ushahidi kuwa binadamu tumeumbwa na hatujatokea tu

    Sayansi haitakuja kujua majibu ya maswali. Na ikija kuyajua itakiri kuwa kuna intelligence in creating all these! Which will directly prove that God exists. Randomness can not create intelligence. Only intelligence creates intelligence.
  13. A

    Ushahidi kuwa binadamu tumeumbwa na hatujatokea tu

    Hiyo ndo sababu ya kisayansi?
Back
Top Bottom