Recent content by alvin95

  1. A

    Ni Programming Language gani unaisoma sasa?

    nlijifunza na c na c++ kuna project nkafanya na java na ingine c# una adapt tu language huna haja ya kujua zote
  2. A

    Ni Programming Language gani unaisoma sasa?

    Programmer siku zote hachagui language ndo mana akaitwa programmer yeye anaface project na kutumia language uliyopo mda huo kwenye project Jifunze language Moja in deep hapo ni sawa umejua zote misingi ni ile ile (C++ ukiijua in deep ushamalza kla kitu) languages zinatifautiana kwenye...
  3. A

    Jinsi nilivyoanza safari ya kutengeneza video games

    hata bam maana ata alie soma hkl anasoma IT wanataka credits za O level za hesabu na english
  4. A

    Jinsi nilivyoanza safari ya kutengeneza video games

    sio lazima usome IT ili ujue game development kwani ata mimi vingi nmejifunza nje ya darasa unaitaji skills za basick mathematics na physics
  5. A

    Jinsi nilivyoanza safari ya kutengeneza video games

    Yah safari bado ipo saivi nafocus kweny kujifunza kwanza kuusu team nataka kwanza nijuwe na experience ndipo nitafute wengine ambao wapo experience pia. coz unajua mkifanya project alf wote ma beaginer mwsho wa sku mnakuwa wababaishaji nimesha kutana na hizo scenario
  6. A

    Jinsi nilivyoanza safari ya kutengeneza video games

    Nilipokuwa mdogo nlipenda sana game nilikuwa nkiona computer nachanganyikiwa kinachonijia akilini ni game kipndi kile nlikuwa sina uwezo wa kumiliki computer, washkaji zangu walipo kuja kuwa na computer nlitumia computer zao kucheza sana game mpk nilipo kuja miliki PC yangu, siku rizika...
Back
Top Bottom