nashkuru sana japo bado nina swali kwenye upande wa katiba kuna structure ya kuifata tunapo iandika au tunaandika tu kwa kufata mpangilio tutakao jiwekea sisi.
habar zenu ndugu. Sisi ni vijana wawili wenye wazo la kuanzishha kikundi cha kutoa huduma ya afya katka jamii kwa malipo ya chini na kikundi kitaweza kuajir watu wa kawaida na madaktari.pia tunahitaji kusajili kikundi hiki ila maswali tulionayo ni je hiki kikundi kinaweza kuwa association au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.