sifa zangu ni:
Mrefu six feet, mweusi wastani, mkristo safi, msomi, mwembamba wastani
sifa zake awe;
mweupe, si mfupi awe wastani au mrefu, mkristo safi, msomi kuanzia diploma au zaidi,
awe ameajiriwa na anaejitegemea kimaisha mwenye uhuru wake. Hana mtoto,
kupima ni lazima kama kawaida...