Recent content by Aludo Ogondo

  1. A

    Kikwete simba wa nyika katoa sentensi moja UKAWA ikaparanganyika

    Dah tz bado kuna watu kama hawa. Bado sana ukombozi. Akili yako = Akili ya huyo unayemsifia.
  2. A

    Dr. Slaa: Natishwa

    Huyu jamaa swala lake lisipofanyiwa kazi haraka atakuwa mwiba kwa ukawa. Kinachoshangaza hata kama kweli source ni hayo magzt ya mrengo fulani mbona asijitokeze kupinga hadharani. Ni bora ukawa iamue either kumwondoa kabisa na kubadili mindset kuwa tunaweza hata bila slaa. Au kama bado ni...
  3. A

    Dr. Slaa hata ukipewa ugombee urais, huwezi itoa CCM madarakani, Lowassa anaweza..

    Tatizo lake ni ukimya anaouonyesha. Hamna mtu anayemlazimisha akubaliane na uamuzi wa kumpokea Lowasa. Bali watu wanapenda kujua msimamo wake ukizingatia cheo chake ndani ya chama. Anatakiwa either akatae maamuzi hayo aondoke au akubaliane na wengi ndani ya chama na ampe support EL. Kuwa neutral...
  4. A

    Bila kubadili Ibara ya 41.(6) na (7) kabla ya uchaguzi mkuu 2015, chama kitashinda tu

    Katika hali ya kawaida ibara hiyo hasa imekaa kulinda maslahi ya chama tawala. Lakini hata nchi zilizong'oa vyama vilivyokaa muda mrefu madarakani vilifanya hivo ndani ya mazingira magumu kama hayo. Swala la msingi ni kutafuta namna ya kura kuzidi kwa wingi hadi kupendelea ishindikane. Lakn...
  5. A

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Huyu dk slaa hata mimi sasa imani kwake imepungua. Kama anasingiziwa si ajitokeze hadharani atoe msimamo wake.
Back
Top Bottom