Kaka.....walikua kumi na mpaka sasa wapo wanne....na wote niliwauza kwa 800000....if you cant afford please ask us how to look for money for you to afford....germany shepherd ana kitu speacil na sizani kama unajua....
Mbwa kwa mm wana nilipa kuzidi ng'ombe unao sema....mm nakodisha mbwa kwenye makampuni mbali mbali kwa ajili ya ulinzi....na wana niingizia pesa per day....
Ngongo niletee pure germany shepherd kwa hiyo bei...mm nitakupa pesa....unacomment wakati hauna knowlegde ya mbwa....kama hauna ela bora ukae kimya.....ingia kwenye mtandao wa google alafu ulizia bei ya mbwa aina ya germany shepherd pure....alafu rudi u comment......asante
Pohamba,Albimany,master mind himself,stephot,emmanepoultryfarm,munisijo,ngongo,everlenk na jephta 2003....picture nimeweka na mm napatikana yombo makangarawe...Temeke...bei ni 800000
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.