Recent content by ALPHONCE TWALANGETE

  1. A

    Ualimu umenichosha

    Ndg uwalm cku hz umekua mgum kwasabab mnanyanyasana wenyewe kwa wenyewe,mwalm mwenzako anapopewa uafsa katka ktengo flan tatzo wanasahau wametokea wap....!nando hao mnapowapelekea shida zenu wanawanyanyasa..pole sana ila ifanye kama njia2 yakufika kule unapotaka mana serikal ndoinavyotaka...
  2. A

    Hiv nafuu ya mwalimu ipo wapi?

    Naomba m/kiti wa chama chao alifanyie kazi hili mana ipo cku walimu watachoka kunyanyaswa......!
  3. A

    Hiv nafuu ya mwalimu ipo wapi?

    NUkuu"MNYONGE MNYONGENI LKN HAKI YAKE MPENI"Hii imekuwa kinyume kwa walimu wa manispaa ya knondoni,cfaham kama kunaurasmi wa hili lnalotendeka manspaa hii nikwa chi nzima hvhv?, kwani walimu wamekuwa wakiptishiwa maombi ya mikopo ya mishahara yao na afsa muhusika kwa awamu mbili tu(mara 2...
  4. A

    Waalimu sasa wazinduka!

    Waenga walinena"kikulacho kinguoni mwako" baada ya kunyonywa na CWT kwa mda mrefu waalimu waanzisha harakati ya kudai haki zao ndani ya CWT,soma muhtasali wa barua yao hii; KAMATI YA WANACHAMA WA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA(CWT) YAKUDAI HAKI NDANI YA CHAMA...
  5. A

    Waalimu sasa wazinduka!

    "Wanasema kweli kikulacho kinguoni mwako" baada ya kunyonywa kwa mda mrefu na CWT waalimu waanzisha harakati za kujikomboa nchi nzima kwa wewe usienataarifa hebu pitia muhtasali wa barua kamainavyoeleza hapo chini; KAMATI YA WANACHAMA WA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA YA KUDAI HAKI NDANI...
  6. A

Back
Top Bottom