Recent content by alpha maganga26

  1. A

    JamiiForums Tanzania Unproffesional, unneccessary and unreasobale-Lawyers wamkaanga Lissu

    Mambo ya Kisheria tusiyachukulie kama zile timu za akina Mondi na Kiba, huku mambo yanajadiliwa kwa hoja, na siyo mambo ya mitaani, wachangiaji tujadili kama taaluma inavyotaka. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ray Kigosi alalama wasanii kupuuzwa na CCM na walikuwa wote kwenye kampeni na kulala sehemu chafu

    Kanijo usilalamike pambana kazi zenu mbona ziko poa tuu, sema WABONGO hatupendi vitu tulivyotengeneza wenyewe. La pili kuunga mkono chama siyo kosa, KATIBA inaruhusu wasanii kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa .
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nauza daladala HINO RAINBOW

    Kazi ya Daladala ni Uwendawazimu,kama haina usimamizi thabiti.
Back
Top Bottom