Recent content by ALNASHIR

  1. A

    Karibuni zanzibar

    Bei zime tangazwa kwenye kipeperushi, Siyo Lazima uje na cheti cha ndoa au ya kuzaliwa, Uje na Kitambulisho itahitajiwa bandarini, Bia hamna lakini kuna bar na sehemu za chakula nyingi kila cona Zanzibar, Karibu sana
  2. A

    Karibuni zanzibar

    Usiwe na Hofu, Uki ishi na watu vizuri, wataku pokea na upendo, Ndivyo na siis tuna husiano nzuri na jamii na majirani, na wageni wano fika siyo lazima ni wa bongo tuu bali wageni wa kila aina wana kairibishwa.Karibu Sana, Alnashir
  3. A

    Karibuni zanzibar

    ROSE NA ALNASHIR NI WAZALIWA WA NACHINGWEA NA TABORA, TUME FUNGUA HOTEL (BED & BREAKFAST) ,"THE ROSAL STONE TOWN HOTEL" MAENEYO YA KOKONI, HOUSE NA 1226 STONE TOWN ZANZBAR,NI DAKIKA MOJA KUTOKA DARAJANI, UKIFIKA PEOPLES BANK OF ZANZIBAR INGIA KWENYE KICHOCHORO, UMESHAFIKA, PIA NI DAKIKA NNE...
Back
Top Bottom