Hapo kwenye barcode utakuwa unanukia kitajiri. Product ya Paris Corner hiyo ambayo ni clone ya Silver mountain water ya Creed. 24k pure gold haijanipitia anga zangu. Nishawahi tumia 24 carat pure gold ila kama huwezi harufu kali basi hii sio ya kutumia.
umemaanisha Sboy by Draco??
Hiyo still ni Niche perfume. Clone kama clone bado sijakutana nayo. Ila ukimix Creed aventus+ Baccarat rouge basi utakuwa umeipata hiyo Sboy karibia kwa 80%
Nilijua ukiwa na nembo ya JF-expert member ni lazima uwe na akili. Hatimaye leo nimejua ukweli. Sijui kilichokufanya uvamie kwenye hii post unayosema ina dalili ya ushoga nini. Unless uwe . . . anyway nisiharibu swaum yangu
1. Oud 24 Hours Majestic Gold Ard Al Zaafaran - clone ya stronger with you leather
2. asad by lattafa - clone ya sauvage alixir
3. Dark Door Intense Maison Alhambra
4. Fakhar Black by Lattafa
5. Just Azraq ya Fragrance World
6. Hayaati ya Lattafa - clone ya Invictus
Cheki na huyu jamaa...
mimi binafsi huwa naagizia UAE au Amazon. Hii limited edition bei kidogo imechangamka kwa Dubai au amazon unaweza kupata kuanzia 180,000. Ila ipo club de Nuit intense man (sio limited edition) nayo ipo vizuri sana. unaweza kupata dubai kwa tsh 75,000. kama una mtu kule unaweza kununua kupitia...
Na pia testers kama testers lengo lake sio kuuzwa bali ni kama jina lake linavyomaanisha. Makusudio yake ni kutest kwa wateja kabla ya kununua Og ili kujua inanukiaje. Ndio maana huwa haziji kwenye package kwa sababu lengo ni kutumika pale pale dukani. Sasa ikitokea zimebaki tester kadhaa ndipo...
Upo vizuri. Nyingine zinazidi hata ubora wa Original zenyewe. Mfano club de Nuit intense man limited edition parfum ipo vizuri zaidi kwenye kila sector kuliko Creed.
tester kama tester original jibu ni Ndiyo. Ni manukato sawa sawa. Tofauti zozote za harufu zinaweza kuhusiana na chupa kuwa exposed kwenye mwanga kwa muda mrefu kuliko zile zilizo kwenye package yake original. Ila sasa kuna wahuni wanakwambia ni tester kumbe sio tester bali ni copy au fake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.