Recent content by Almahri08

  1. Almahri08

    Biashara Spare parts za magari

    Habari za asubuhi mabibi na mabwana Ningependa kupata ushauri kwenu Kwa mtu aliyejipanga kufungua biashara ya spare used za magari kutoka Dubai kwa mkoa wa Dodoma
  2. Almahri08

    Kwa mtaji wa 25 million nifanye biashara gani?

    Nina frame Dodoma one way mjini barabara ya tisa karibu na mskiti nina Mtaji wa millioni 25 mnanishauri ni biashara gani nzuri naweza kufungua
Back
Top Bottom