Recent content by Allencharles17

  1. A

    Nimepangiwa kusoma HGL mimi nataka CBG, Nifanyeje?

    Jaman nisaidieni kimawazo hapa mm nimefaulu kwenda advance lakin nimepangwa kwenye kombi ya HGL na mm sitaki kusoma HGL nataka nisome CBG na nimefaulu hesabu kwa grade "c" na komb ya CBG imebalansi kabisa. Sijui nifanyaje hata naombeni ushauri wenu tafadhali
Back
Top Bottom