Recent content by Allen Puntermkuu

  1. A

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Vipi umejaribu kutumia hivi vifurushi ni unlimited navyo? Halafu sijaelewa hapo naona speed wameandika Mps ina tofauti na wanavyotoa Airtel Mbps?
  2. A

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Ina maana hii gharama inakuwa na makato ya kuagizia unapoipokea au hiyo ni bei yake yenyewe tu ? Mlolongo wake upo vipi mpaka umeipata labda imechukua muda gani?
Back
Top Bottom