Recent content by Alied

  1. A

    JamiiForums Tanzania Csee 2012

    sawa mtabiri tambitambi.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    mzee majuto anakwambia (upuuzi mtupu)
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mbozi wanafunzi kadato cha kwanza 28,0000 hawajui kusoma wala kuandika

    Wangepasishwa na kidato cha nne kama hivyo watakuwa wametisha ile mbaya yani
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ukisikia paaaaaaa moyo umezima ujue NECTA wamefichua matokeo ya kidato cha 4.

    Yako wapi au unayaona wewe tu kwa sababu umevaa miwani ya mbao.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Aliekua hana cha kuchangia asepe tu hatutaki uongo.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Acheni stori za kidini necta hawaangalii dini wala sura ulichopanda mdicho utachovuna.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu matokeo kidato cha NNE 2013

    Laiti ingekuwa simu ukiichezea sana inaripuka, basi yangu ingebaki majivu kwa kusubiri matokeo simu imoto kama inahoma kali,du na wayatoe tu presha juu kwa juu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Wayatoe mapema wenye kunua tena mtihani wajipange.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Csee 2012

    Mbona watu waongo wanasema matokeo yashatoka mbona hatuyaoni mwenye link ya kuyapata atujulishe
Back
Top Bottom