Recent content by Alfred_station_A

  1. Alfred_station_A

    Je, ni kweli TAMISEMI imefuta Ajira za Walimu walioajiliwa wenye Ngazi ya Diploma?

    Kwa mujibu wa maelezo ya huyo Afisa muajiri ni kwamba " Postgraduate diploma in education " ndio ajira zimehairishwa ikiwemo na dada yangu ambae pia amesoma kitu hicho postgraduate diploma in education.
  2. Alfred_station_A

    Je, ni kweli TAMISEMI imefuta Ajira za Walimu walioajiliwa wenye Ngazi ya Diploma?

    Hapana mkuu, dada yangu ndiyo kasomea ualimu ss alipata hii taarifa jumamosi ameniomba nimuulizie kama ni taarifa ya kweli au la!!
  3. Alfred_station_A

    Je, ni kweli TAMISEMI imefuta Ajira za Walimu walioajiliwa wenye Ngazi ya Diploma?

    Habarini ndugu Naomba nifikishe hili suala maana nina wasiwasi sana na Ajira yangu mpaka sasa kwasababu nilisubiri sana mpaka kuipata. Siku ya Jumamosi tarehe 19 Dec nilipokea simu kutoka kwa Afisa Ajira wilaya ya Tandahimba (kwa mujibu alivojitambulisha), akisema kua Ajira yangu imesitishwa...
Back
Top Bottom