Habarini wanajamvi natumaini mpo salama.
Kuna hii ishu ya NHIF kuwahi kukatisha muda wa subscription ya BIMA za wanafunzi wa chuo cha UDSM ambapo BIMA zilitakiwa ziishe mwezi wa 11 badala yake zimekatishwa na kumalizia Oktoba 8.
Hii imeleta changamoto kwa watumiaji wa Bima hizi kwani wengi...
kaka habari hio changamoto ya vipele mgongoni ma kifuani visivyowasha imenikuta leo kaka naomba kupata mrejesho wako ulitimia dawa gan mpaka ukawa sawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.