Ili maendeleo yawepo ndani ya nchi viongozi wanatakiwa wawe kitu kimoja bila kujali siasa, udini, ukabila, pia upendeleo.
Nchi inapaswa kuwa na viongozi waliowadilifu, wenye kujituma na wenye chachu ya maendeleo ya nchi yao, na ili kupata hayo yote wananchi wanatakiwa waweze kuchagua kiongozi...