Recent content by Alexmugisha

  1. A

    Kamati za maafa Wilaya na Mikoa

    Kutokana na sakata la mafuriko linaloendelea nchini tanzania mfano Manyara, Kagera pamoja na sehemu nyingine sijajua kama kamati za maafa zinajurikana na kwenye bajeti ya serikali sjui kama wanaweka kipaumbele kuhusu suala hili. Tanzania kwenye preperation tukoje? au tunasblia maafa yatokee ndo...
  2. A

    Kamati inayoshughulika na majanga nchini haina wataalamu huku wenye ujuzi wapo mtaani, serikali itupe kipaumbele kwenye ajira

    Ni kama suala hili ni la kisiasa zaidi watu waliosomea wapo mtaani na AMBAO HAWANA hujuzi ndo wapo just imagine unaenda sehemu za usimamaizi wa maafa wapo forest expats 😎
  3. A

    Kamati inayoshughulika na majanga nchini haina wataalamu huku wenye ujuzi wapo mtaani, serikali itupe kipaumbele kwenye ajira

    Hello, mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu nasoma Shahada ya Kwanza (Masters Degree of Environmental Disaster Managament) mwaka wa pili. Ombi langu ni kuhusu degree hii tunasoma lakini pia kuna waliotutangulia ambapo majanga yanatoke mengi na nchi hupata hasara while watu ambao wanateuliwa...
Back
Top Bottom