Kwa utulivu na ili maoni yako uhakikishe kama Mwananchi anayechochewa kutaka mabadiliko ya Katiba ya Nchi yanachukuliwa na kufanyiwa kazi utafanya jambo hili ukiwa kwenye mihangaiko yako ndugu,itawezekana kweli au unataka watu wakuandalie tu Katiba?
Katiba kubadilika ni la Nchi kwa hiyo hata kazi itabidi zisimame ili Katiba unayotaka wewe iwe active.Sio jambo rahisi kama linavyochochewa.Kuchochea Wananchi watake Katiba mpya ni mambo huvunja Amani.Bila kufuata taratibu ni lazima iwe kinyume na sheria.
Mabadiliko ya Katiba ni maboresho ya kilichopo siku zote lengo hua ni hilo na ni jambo sio la sisi Wananchi pekee pia linahusu ambao hatma ya Nchi yetu ipo mikononi mwao na ni jambo linalogharimu muda na pesa kwa hiyo
Mimi kama Mwananchi usinichochee nifatilie Katiba kama haunilipi kufatilia...
Najua Mungu ni mmoja na Sisi kama watu tunaishi mfumo wa kimaendeleo ambao unamtukuza Mungu kwa kushirikiana na kusaidiana kiutendaji kutimiza lengo la Mungu kikazi, kimaendeleo, fursa na riziki ndiyo maana tumekua ndugu na marafiki na Leo hii tunawasiliana kwa mipango ya Mungu.
Mheshimiwa Rais Vladimir Putin mnadhani hajui kilichotokea Oktoba 2025 lakini jibu ni simple tu. UKweli ni Kilichotekea ni sheria imefanya kazi yake na ndiyo maana kaungwa mkono na Mheshimiwa Rais Vladimir Putin .
Changamoto iliyotokea inatokana na mfumo dume.Mpaka Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anapata Urais matokeo yake sio wapinzani tu hata Wana CCM wengine hawakutaka Mama Samia aongoze kwa hiyo hilo jambo likawa nafasi nzuri kwa wapinzani na wanaomchukia kufanya mipango ya kumuondoa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.