Ilani iko vizuri sana asilmia kubwa ya watanzania ni wakulima na wafugaji hivyo kujikita Sana eneo hili itatoa ajira nyingi sana kwao watanzania
Hii ya kiko hai ndio yenyewe hasaaa
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Chama cha sauti ya umma (SAU) Kinatarajia kuzindua ilani ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kampeni zake siku ya tarehe 13/09/2020
Uzinduzi wa ilani utafanyika kizitendo katika eneo la KWAZOO kata ya buyuni na baadae mkutano wa uzinduzi eneo la MOMBASA karibu na stand ya mabus katika Jimbo la ukonga...
Nakubaliana na wewe kabisa
Hili ni swala zito sana kumshirikisha mungu ni Jambo muhimu
Hongera kwao kwa kulitambua hili
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Huku ni kwa kuja, kuliko kule kwa waliotaka tuwe lock down,
sijui watanzania wangapi wangekuwa wamepoteza maisha kwa njaa
Wanasiasa wanapaswa kuangalia maslahi ya wapiga Kura wao badala ya kuangalia maslahi binafsi
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Huyu mgombea wa chama cha sauti ya umma SAU ukitafakari kwa undani Sera yake ni muhimu sana coz lishe ndio iliyotusaidia kwy janga la corona
Ila ukiangalia kwa kufikiria kuku tu utakuwa bado huja muelewa
Hongera kwake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.