Recent content by alberttt

  1. alberttt

    Nauza Asus note book ya mtumba 60,000

    Sijui mkuu njoo na ruler uipime ila mwonekano wake ndo huo kama kwenye picha unavyo ona
  2. alberttt

    Nauza Asus note book ya mtumba 60,000

    Sijui mkuu sina utaalamu wa computer kama itakuja kuiona njoo na ruler ya kupimia
  3. alberttt

    Nauza Asus note book ya mtumba 60,000

    Nakutumia tuu mzigo kwa basi kama una imani na mm...kama hauna unaweza tumia ndugu yako yyte aliepo huku dar
  4. alberttt

    Nauza Asus note book ya mtumba 60,000

    Nakutumia tuu mzigo sababu mm ni mwaminifu...kama hauna imani na mimi unaweza kutumia ndugu yako yyte aliepo huku dar
  5. alberttt

    Nauza Asus note book ya mtumba 60,000

    Nauza notebook asus ya mtumba ni android ram 1GB storage ni 54GB kwa shs.60,000....touch haifanyi kazi sababu ili anguka touch ika crack unatumia keyboard tuu kama upo serious nichek 0716385824 napatikana dar es salaam
  6. alberttt

    Nauza mbwa wangu wa kizungu kwa bei chee

    kwani ukimueka mlinzi getini kwako anakuingizia shingapi kwa siku?
  7. alberttt

    Nauza mbwa wangu wa kizungu kwa bei chee

    nauza mbwa wa kizungu bloodline tofauti tofauti(roltroillers,german sherphered e.t.c) kwa bei nafuu tsh.450,000 sihitaji dalali kama unahitaji nipigie simu 0716385824....Napatikana kigamboni.kama picha hazijatosha unaweza kuja kwangu ukawaona wengine zaidi karibuni
  8. alberttt

    Nahitaji mtu wa kuweza kunisaidia kuwandika Proposal

    nichek mkuu nipo dar 0716385824
  9. alberttt

    je unasumbuliwa na tatizo la kuto julikana kwa biashara au shughuli unayofanya inayo kuingizia kipato?

    sijajua idadi ya audiance unaotaka liwafikie tangazo lako.
  10. alberttt

    je unasumbuliwa na tatizo la kuto julikana kwa biashara au shughuli unayofanya inayo kuingizia kipato?

    gharama itakua tshs.40,000 na tangazo litadumu siku 7 hewani
  11. alberttt

    je unasumbuliwa na tatizo la kuto julikana kwa biashara au shughuli unayofanya inayo kuingizia kipato?

    okoa biashara yako sasa kwa kutumia e-lectronic marketing baina ya biashara na mteja. 1.Natoa huduma ya bulk sms (ujumbe kufika kwa watu wengi) hadi watu 600,000 kwa siku moja 2.Nauza database za namba za wateja tanzania nzima ya mitandao yote ya simu inategemeana na uhitaji wako. 3.Natoa...
  12. alberttt

    Je una tatizo la kutojulikana kwa biashara yako au shughuli yako?

Back
Top Bottom