Recent content by ALBERT NYALUKE

  1. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Unaenda BRELA ukishapata certificate unaenda TRA kupata TIN no na Tax clearance then unaenda manispaa, halmashauri kupata leseni. Ukitoka hapo unachukua certificates zote ulizopata katika kila hatua na kupeleka benki kwa ajili ya kufungua akaunti
  2. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunahitaji kuongeza akili ya fedha

    Na, Albert Sanga, Iringa. Mapema mwezi wa saba mwaka jana nilikutana na mzee mmoja msataafu kutoka katika moja ya wilaya za mkoani Iringa. Mzee huyu ambaye ndio kwanza alikuwa ametoka kustaafu kazi yake ya ualimu nilimfahamu kwa njia ya simu kupitia kwa rafiki yangu. Haja ya mzee huyu ilikuwa...
Back
Top Bottom