Recent content by Albati Mathwe

  1. Albati Mathwe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Ili kulinda misitu Serikali ni lazima ichukue hatua ikiwa ni pamoja na kuondoka kabisa kodi kwenye gesi iwe zero na kuweka ruzuku ili Bei ya gesi iwe chini zaidi. Hii itafanya kila mtu atumie gesi. Hatua hii itaua Biashara ya mkaa na hapo tutalinda misitu na nikirudi kwa Lumola ni kwamba...
  2. Albati Mathwe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Naomba kuuliza ni kwasababu gani Biashara ya mkaa ni tishio kubwa kwa ufugaji wa nyuki?
  3. Albati Mathwe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Thanks PIRO tycoon4 kwa kutupa msaada kwenye tuta [emoji23]
  4. Albati Mathwe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Asante sn Mkuu napata faida sn kupitia andiko hili la Lumola
  5. Albati Mathwe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Kwa yeyote anayefahamu naomba kuuliza juu ya faida ya Maziwa ya nyuki ile wanaita jelli ya Kifalme chakula cha malkia
  6. Albati Mathwe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Mkuu Lumola naomba kufahamu kuhusu faida za Mkate wa nyuki. Nimekuwa nikisikia Mkate wa nyuki unafaida nyingi sana. Sasa naomba unipe maelezo kuhusu mkate wa nyuki
  7. Albati Mathwe

    JamiiForums Tanzania Tui-support Association ya AMETT

    Naona media za kutosha hongera sana kwenu
  8. Albati Mathwe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Wao ni ndugu nikiwahi kusikia hivyo
  9. Albati Mathwe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Kesho nitakupigia mkuu
  10. Albati Mathwe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Safi mkuu nami nimesave namba yk nitakutafuta
  11. Albati Mathwe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Mimi miongoni mwao
  12. Albati Mathwe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tufuge nyuki kwa maendeleo endelevu na tuwalinde kwa wivu mkubwa

    Hakika ni lazima tuziendee fursa zote
Back
Top Bottom