Nimeamua kushirikisha uzoefu wangu nilioupata Musoma Mjini ili nipate maoni ya wanajamii na pia kuona kama kuna wengine wamewahi kupitia hali kama hii.
Mnamo tarehe 19 Juni 2026 nilisimamishwa na askari wa kike wa Usalama Barabarani akiwa Musoma Mjini. Aliniomba leseni ya udereva, nikamkabidhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.