Recent content by AL ADAWY INDUSTRIES

  1. AL ADAWY INDUSTRIES

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kusaga na kukoboa

    Kuhusu changamoto kiongozi nafikiri unafaham hakuna biashara isiyokuwa na changamoto za hapa na pale, kwa upande wangu changamoto ninazopitia ni upatikanaji wa nafaka(mahindi/mpunga) eneo nililopo sio kijijini na hakuna wakulima.sasa inanilazimu niagize kutoka vijijini cost inakuwa kubwa Sent...
  2. AL ADAWY INDUSTRIES

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kusaga na kukoboa

    Diesel kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  3. AL ADAWY INDUSTRIES

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kusaga na kukoboa

    Lengo la kuuza ni kuongeza hela na kubadilisha mfumo wa biashara.kama unavyoona mashine hiyo ni proposed kwa vijijini mahala pasipokuwa na umeme. Sisi tunahitaji mashine mpya za kisasa kutokana na mazingira tulipo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. AL ADAWY INDUSTRIES

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kusaga na kukoboa

    Ninauza mashine ya kusaga, kukoboa pamoja na diesel engine yake bei milion 2.5 negotiatable...mashine zipo Mwanza mkolani Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom