Tuacheni ushabiki usiokuwa na utashi. TUCTA iliitisha mgomo nchi nzima: Madaktari, manesi, walimu, wafanyakazi wa ndani, mapolisi na hata wanajeshi walishawishiwa kugoma. Taasisi zote za umma na za binafsi. Ukweli ni kwamba Nchi ingesimama. Mgomo huu ulisitishwa kwa ahadi kwamba serikali...