Recent content by akilinene

  1. akilinene

    UN waikanusha serikali, wasema waziri wa Tz kuonana nao si kwamba wanabariki mauaji yaliyofanyika.

    NI vizuri tu kusema- nakusema hivi au nakusikia unanuka. Tatizo wewe unasema fulani kasema anakusikia unanuka, wakati siyo. huo ni uongo na kuwaadaa watu. UN umewalisha maneno. Hawajasema maneno uliyoandika.
  2. akilinene

    UN waikanusha serikali, wasema waziri wa Tz kuonana nao si kwamba wanabariki mauaji yaliyofanyika.

    Ni uongo tu analeta. Hakuna lolote kutoka UN. Ameshindwa hata kuweka link. Amebaki tu kuimba kuwa ni mtandao. Hizi ni propaganda za kitoto sana
  3. akilinene

    UN waikanusha serikali, wasema waziri wa Tz kuonana nao si kwamba wanabariki mauaji yaliyofanyika.

    Acha uongo. Weka link hapa ya UN kuhusu unalolisema. Hakuna, ni maneno yako umejiandikia unakuja kuongopea hapa eti UN.
  4. akilinene

    UN waikanusha serikali, wasema waziri wa Tz kuonana nao si kwamba wanabariki mauaji yaliyofanyika.

    Nilete nini na hakuna walichosema UN. Angalia media na social outlets zote za UN hakuna uongo huu mnaoleta.
  5. akilinene

    UN waikanusha serikali, wasema waziri wa Tz kuonana nao si kwamba wanabariki mauaji yaliyofanyika.

    HII NI FAKE NEWS. WANAHARAKATI MNAHANGAIKA. HATA LUGHA NA UANDISHI WA UN HAMUIJUI. SHAME ON YOU
  6. akilinene

    Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

    A failed mind. Hili la udini pia hailipi.Unajaribu kuokota okota na kuunganisha kwa gundi ya soda vitu visivyo na maana. Kubali umeshindwa brother. Nenda kalime matikiti A failed mind. Hili la udini pia hailipi.Unajaribu kuokota okota na kuunganisha kwa gundi ya soda vitu visivyo na maana...
  7. akilinene

    Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

    A failed mind. Hili la udini pia hailipi.Unajaribu kuokota okota na kuunganisha kwa gundi ya soda vitu visivyo na maana. Kubali umeshindwa brother. Nenda kalime matikiti.
  8. akilinene

    Kusambaa kwa picha na ujumbe wa kuhamasisha maandamano, vyombo vya dola havioni au wanaunga mkono kimya kimya?

    Hata wewe serikali inakufuatilia . Ni mtumishi wa serikali lakini unatumika against serikali hiyo hiyo. Usipobadilika utanaswa. Muda utasema.
  9. akilinene

    Hachafuliki: Tunampenda Rais Dikteta na Kichaa Aliyefanya haya

    I wholeheartedly agree with you
  10. akilinene

    Mwenendo wa mjadala wa Mkataba wa Bandari

    Ni kundi lile lile la FaizaFoxy?
  11. akilinene

    Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

    FaizaFoxy ni mdini hatari. Nayo ni aina fulani ya ujinga. Sijui alifundishwa shule gani ujinga huu.
  12. akilinene

    Kwamba Mzee Warioba, Butiku, Shivji, Bagonza, Pengo, Kitima wamelipwa kukataa Mkataba wa DP World?

    Hivi ni wewe ulianzisha uzi mahali fulani ukitaka tujadili hili suala bila kutua matusi, kejeli na maneno ya kufedhehesha wengine ? Unayofanya hapa ni nini?
Back
Top Bottom