Recent content by Akatanyukwire

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri ujio wa Edward Lowassa jimbo la Bukoba Mjini viwanja vya Gymkhana

    Otatina taJof hahahaha
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Nipo kwenye ofisi moja hapa. Yani tupo watano, wanne wanampenda Lowassa mmoja tu anampenda Makomeo.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Hahahahahaha
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

    mimi hata kama CCM hawatampitisha EL kugombea urais, na hata kama kwenye orodha ya wagombea urais kwenye karatasi ya kupigia kura hatakuwepo, kwenye kura ya urais ntaandika jina lake hata kama sio mgombe na najua ntakuwa na amani moyoni. EL kitu ingine hiyo. weka mbali na wazembe
  5. A

    JamiiForums Tanzania Uso kwa uso na Lowassa: Jamani Lowassa ni bonge la Kiongozi

    Sijui umetokea shimo gani, Nawa uso kijana nyimbo zingine haziuziki.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Uso kwa uso na Lowassa: Jamani Lowassa ni bonge la Kiongozi

    Naungana na ww 100% Lowassa ni zaidi ya watu wanavyomsikia ni mtu wa kipekee.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Uso kwa uso na Lowassa: Jamani Lowassa ni bonge la Kiongozi

    Tatizo la watanzania walio wengi wanapenda sana kusikia mapungufu ya mtu kuliko Mazuri yake, pia hata hayo mapungufu yanayosemwa mtu hawezi kuyadhibitisha, tunaitaji mtu wa maamuzi kama Lowassa, miaKA 5 TU INATOSHA NCHI ITARUDI KWENYE MSTARI.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Uso kwa uso na Lowassa: Jamani Lowassa ni bonge la Kiongozi

    jiandae kijana, Edo Rais 2015
  9. A

    JamiiForums Tanzania Uso kwa uso na Lowassa: Jamani Lowassa ni bonge la Kiongozi

    Nimesema chaguo langu ni Lowassa, hao wengine chagua wewe. Kuhusu tuhuma zake weka vielelezo ntakuelewa lakini maneno matupu ni kama unapiga makelele tu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Uso kwa uso na Lowassa: Jamani Lowassa ni bonge la Kiongozi

    Habari wanaJF "Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni" Ilikuwa hivi: Wiki iliyopita jumanne ilikuwa siku ya idd ambapo tukiwa kwenye hotel moja hivi eneo la mto wa mbu, Monduli tukiwa tunapata lunch mara akaja Lowasa na watu wengine, Kwa kuwa tunafanya kazi za maendeleo kwenye jimbo lake na...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    Natamani penye ccm niweke chadema
  12. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    Sasa turudi kwenye ukweli, kwa matokeo haya chadema waraka wa mkumbo ulikuwa kioo mlipaswa kujiangalia na kujikosoa, mtaendelea kutoa malalamiko yaleyale kila uchaguzi. Kama kituo cha uchaguzi chadema inapata kura 2 ndio tuseme zimechachuliwa??????? Ni ujinga kukimbia ukweli, jirudini kama...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wana tatizo la uzazi

    nashukuru sana ngoja nijirudishe kwa muumba. asante na ubarikiwe
  14. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wana tatizo la uzazi

    Amina sana
  15. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wana tatizo la uzazi

    blood group haina shida wote tuna 0+. nimejipa miaka mitano ikishindikana ntaadopt
Back
Top Bottom