Recent content by akana kasungu

  1. A

    Naumia sana nakosa la kufanya

    Pole, hiyo ni lana ya yule msichana uliyomuacha bila kosa lolote, sio tu kwa sababu ulitoausichanawake hapana. Ni vile ukumwamba ukweli, wewe baada yakumchoka ukaanza vituko vyako. ungemwambia ukweli usingepata lana yake. kuna laana nyingi, ya wazazi ya mke n.k. rudi ukamweleze kwamba yeye...
  2. A

    Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

    hapa inategemea mwanaume una nguvu kiasi gani. maana wengine ni sawa ni joka la kibisa. kwaiyo utamu unatoka kwa mwanaume
  3. A

    Wanawake wanachukia zaidi michepuko ipi kati ya hizi mbili

    Na mwanamke akichepuka na mchepuko aliyemzidi mumewake kwa kila kitu, yaani hela, cheo n.k inakuwa je?
  4. A

    Mume wangu ni mlevi nashidwa kuvumilia, naomba msaada nifanye je?

    nashukru kwa msaada wako nimepata nafu ya mawazo
  5. A

    Mume wangu ni mlevi nashidwa kuvumilia, naomba msaada nifanye je?

    Jamani wana JF, Mimi ni mama, umri miaka 44 na mume wangu amenipita miaka 9. Mume wangu ni mlevi kupindukia, yeye akisha nunua chakula na kulipia watoto school fees, akipata hela anachowaza ni michepuko na pombe. Kinachonisikitisha ni kwamba wengi anaotembea nao ni mabamaid. Pamoja na kwamba...
  6. A

    Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

    Gazaniga, shagazi yako mweupe uko chini? acheni uhuni wenu bhana. Wanyakyusa wanyakyusa! kwanini msiwaseme mama zenu? Kwani wanawake wakinyakyusa wana lala na akininani kama sio nyie wenyewe? shiti!
Back
Top Bottom