Kama kuna ambao walidhania kuwa Mh. Rais atakwama au atasua sua kwenye kuiongoza nchi nadhani mpaka sasa wameona kuwa nchi inasonga mbele and there is no commotion kama ambavyo wengi walitegemea.
Hili ni jambo la kumpongeza Mh. Rais na kuendelea kumwombea Afya njema kimwili na kiakili...
Kama tukitambua kuwa kama wananchi tuna majukumu kadhaa ya kuweza kusaidia kuinua uchumi wa serikali yetu na kusaidia katika ukusanyaji wa kodi. je ni wangapi hukumbuka kudai risiti wanaponunua bidhaa mbalimbali au kupata huduma?
Je, tunafahamu ni kiasi gani tunajiibia kwa kutokuwa tayari...
Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu
Salam!
Mimi ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 40 ambaye nimesoma nchini Tanzania kuanzia shule ya Msingi, Sekondari na pia Chuo Kikuu. Elimu yangu kubwa nimeipata kwa watanzania ndani na nje ya Darasa.
Nashukuru katika kuitumikia nchi nimehusika kwa njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.