Taasisi za dini zina jukumu la kukemea maovu na kuimarisha uadilifu ktk jamii.
Shida ya msingi ya TEC for years ni kuwa wanavuka mpaka na kujiingiza ktk siasa, kitu ambacho ni kinyume na misingi ya taifa. Mfano huo hapo chini.
https://www.youtube.com/watch?v=tyOE8cwkTwU...
Na wao hawakutoa hukumu, ni concern yao. Wewe na wengine mnaweza imarisha zaidi kwa kupinga au kusema tatizo ni TEC.
as to why Dr Kitima, pengine wao wameona huyo ndio kinara/tatizo, au kuwajibishwa kwake kutafanya TEC ijitathimini. Nikikupa mfano, juzi tumepata matatizo ya uchaguzi , kwanini...
Sasa Baba Askofu Ruwaichi anataka watu wasimamie haki na ukweli gani? Mbona wale vijana walisema wazi concern yao kunako Dr Kitima kuhusika na siasa! Na wao hawakutoa hukumu bali waliwasilisha concerns na kutaka Papa afanye uchunguzi/kufuatulia. Kuhusika kwa Dr Kitima na siasa za CDM hata TAL...
Maoni yake, walisema pia December 9 serikali itaua hata kama huta andamana.
Watu hawaungi mkono mipango yao ya fujo na kuvuruga amani (order and law). Ama haki watu wanazitaka kwa njia za amani.
hoja yangu hahipotoshi chochote, hao Wazee ndio wasanifu wa yote haya, hawakuwajibika wakati wa nyuma, hawatawajibika sasa! Msingi wa kukusekana uwajibikaji ni uleule na Warioba na moja ya waasisi wa msingi huo.
Tujikite ktk kiini cha tatizo, na kutafuta suluhu ya kuendesha siasa na nchi...
Mnatafuta pakuegemea kwa kila namna.
Kama unamfuatilia CDF Mabeyo, mtazamo wa namna hio si mara ya kwanza kusema hadharani, akiwa bado ni CDF aliwahi zungumzia kuhusu mafuta strategeically kama alivyo fanya ktk amji hapo.
Sina uwezo kukusaidia kuhusu reaction ya waislam kupitia platform hii. Ninachoweza sema hayo ni matokeo ya complex historical issues zinahusisha TEC na waislam.
Ungependa niseme yanayo fikia ktk hitimisho lako, lakini sicho nilicho andika.
Wao waendelee kukemea, hoja hapo ni proportion ya ukosoaji! Ndio maana naita treatment ya mtoto wa kambo.
Wakati wa JPM palikuwa na mauaji ya watu, utekaji na kupigwa risasi, TEC walikemea na maovu hayo, na kuitaka...
it always start as small problem, kuna haja ya kujiuliza kama wazee hawa hawakuona hatari ya mifumo waliyo tengeneza? au wanachotafuta ni kipi hasa?
wao pia walifanya the same wakati ya operation ya vijii vya ujamaa.
tujikite kutafuta suluhu ya matatizo ya nchi kwasasa, ni kweli historia ni muhimu. TAL anawashinda wengi ktk kutambua ukweli wa historia ya matatizo tunayo jadili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.