ooh, mi nafikiri muda umefika sasa wa kuwa na jina mbadala la umoja huo,kwa kuwa sasa kumekuwa na mfumo wa vyama vingi., nashauri jumuiya hii ya wanawake Tanzania yaani (UWT) sasa litafutwe jina jingine lenye muelekeo wa CCM,. Kwakuwa jumuiya hii si ya wanawake wote wa Tanzania....