Duuuh Ndg Hapo umewadanganya😃,, miji midogo mkoa wa geita Ni miwili tu inayotambulika kisheria ambayo Ni: 1.katoro township Na wa 2. Ushirombo township, : kwa upande wa mji wa katoro unaundwa na Kata tano ambazo ni: katoro,buseresre, Ludete, butengolumasa Na Kata ya Ibondo. Kwa upande wa mji wa...