Recent content by AirorokiVava

  1. A

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Mashabiki wa Simba waingia na bango la kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29, 2025

    We mbwa babako alimwaga mbegu kwenye miiba, we ni hasara ya jumla! Hv kwanini ni mpumbavu hivyo?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anang'olewa unachama wa ccm leo.

    Ila Sahv kipata vijana wenye akili siyo kazi rahisi. Sasa bwege km hili lina faida gani kwa Taifa na hata kwa wazazi wake? Jitu linaibuka tu na uzushi mkubwa usio na kichwa wala miguu na bado dhamiri yake iko sawa, ni aibu! Uwongo mkubwa namna hiyo na unaona ni sawa? Huyu ni hasara!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anang'olewa unachama wa ccm leo.

    We kweli ni KUZIMU, uzushi wa kipumbavu km huo unakusaidia nini. Mwigulu afukuzwe kwasababu zipi, km ni uwaziri mkuu ni simple sana ni Rais kuvunja serikali wala siyo geni Mwinyi alishavunjaga baraza lake mara 2. Rais hawezi kumhofia PM kdg, utata ulikuwa kumwondoa makamu wake.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Angalia hujuma SGR, Umma umepiga kelele lakini bure. Nani yuko nyuma ya hiki? CARTEL, STATE CAPTURE RUNNING SGR

    Km ni kwl wataiua km Air Tanzania. Waafrika ni afadhali ya nyani na tutakuja kutawaliwa kwa mara nyingine. We Rais wa nchi ni mwanamke km Samia unategemea nini? Abood kaleta mabasi zaidi ya 100 na hapo hapo treni ya sh 13,500 Dar-Moro ikaondolewa. Ndiyo maana nasemaga hiyo SGR haikuwa na maana...
  5. A

    JamiiForums Tanzania TISS wakiachana na siasa za kuibeba CCM taifa letu litapata maendeleo makubwa ya kisiasa na kiuchumi

    Kinachowafanya mdharaulike ni uandishi wa kipumbavu km huu, unaishi kwa hisia, unaandika uzushi na uwongo. We huo mkataba wa DP World umeusoma? Ubovu wake ni nini tuletee hivyo vipande vibovu tuvione! Hakuna mtanzania atakayechagua wahuni, vibaraka wa nchi yetu!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Africa kwa mara ya kwanza imechukuchukua tuzo ya Miss Grand International kupitia Mtanzania Jihan

    Roho inakuuma? Mlaumu mamako kuwa mzembe, Samia ndiyo Rais!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Africa kwa mara ya kwanza imechukuchukua tuzo ya Miss Grand International kupitia Mtanzania Jihan

    Hayo yalivyokaa mbn km siyo mbongo?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Baba wa marehemu Shukran Amos Said akataa mwili kuzikwa mpaka mahari ya TSh 1,500,000 ilipwe

    Hakuna kabila kubwa wala ndogo, acha ukabila we mpuuzi
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson Mwansasu: Baada ya kupigwa chini Uspika, apigwa chini tena Urais wa Mabunge Duniani

    Wafuasi wa chadema ni viumbe vya ajabu hp duniani. Sijui ni wehu? Au mazuzu? Watakufa kwa sonona
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson Mwansasu: Baada ya kupigwa chini Uspika, apigwa chini tena Urais wa Mabunge Duniani

    Wapumbavu km huyu wanatakiwa wapunguzwe duniani km siyo kuwamaliza, hawana faida kwa Taifa na kwa wazazi wao! Ni mpumbavu anayeombea wenzake mabaya wakati yeye hata udiwani hawezi kupata. We mbwa ukweli ni kwamba Tulia Ackson hakugombea uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka...
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Nimechoka Kusikiliza Uongo Kwenye Mazishi!" - Padri Gichure Ailipukia Familia Wakati wa Mazishi.

    Kuwa na hekima ji kujua useme nini wapi na wakati gani
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwa nini msiba wa Jane Urassa umekuwa wa kitaifa?

    Acha ushamba, wa kitaifa Rais alihudhuria? Kiongozi gani aliwakilisha serikali? Vijana wa siku ni aibu! Empty-headed!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi nakukumbusha kinyume cha neno haramu ni halalai. Je, rais wetu ni halali?

    Nyie nyumbu km mlikimbia uchaguzi ndiyo usiwe halali? Samia ni Rais halali kabisa tulimpigia kura tarehe 29 Oktoba 2025. Dunia inamtambua ndiyo maana imefurika Tanzania. Nyie wapumbavu wa chadema hakuna jipya tushawazoea, Kabudi angewapuuza tu!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aumizwa na kutokwa na machozi kufuatia vifo vya watu 32 mkoani Morogoro kufuatia ajali ya magari. Atoa salamu za pole na rambirambi

    Yule msukule wake wa kipemba waziri wa uchukuzi Makame Mbarawa yuko wapi. Kwanini asimfukuze mtu ambaye ni km hayupo? Makame Mbarawa na yule msaidizi wake mnyalu David Kihenzile wafukuzwe mara moja
  15. A

    JamiiForums Tanzania Hii Hapa Orodha ya Mikoa 15 Inayoongoza Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania "Regional GDP Share " mwaka 2025

    Mikoa yote ya kanda ya kaskazini ndani 15 bora
Back
Top Bottom