Swala lingine ambalo linakera sana hili la madawa ya kulevya haswa Mirungi nchi jirani ambayo ni jumuiya ya Afrika Mashariki ndio zao lao kubwa linalowanufaisha wananchi wake, sisi tunayo pia ukanda wote wa usambara mountain imejaa lakini ndio yamewekwa kwenye kundi la madawa ya kulevya...
Watanzania bana ukweli tunafaa kushukuru kwanza hii hoja ya katiba mpya imekuja mezani nikiwa na maana iko jikoni inashuhughulikiwa lakini nadhani kuna vipengele vingi sana vina faa marekebisho halafu hii system ya wenyewe kwa wenyewe wanakaa kwenye system ya serekali kama sio mtoto wa mjomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.