Hello boss,mfumo wa umwagiliaji kwa njia ya matone (drip irrigation) kwa umwagiliaji wa papai huwa tofauti kidogo na mfumo wa umwagiliaji kwa mazao ya mboga mboga hivyo huwa na aina yake kabisa ya bomba ambazo huitwa blind pipes zinazopachikwa online emitters kwenye kila shina la mpapai hivyo...
Iko hivi boss,Hapa inategemea na unataka mfumo kwa ajili ya umwagiliaji wa zao gani.Mfano kwa gharama za kufunga mfumo huu kwa kilimo cha zao kama papai ni tofauti na gharama za kufunga mfumo huu kwa mazao ya mboga mboga kama nyanya,matango,hoho n.k kwani mazao haya hutumia mfumo wa umwagiliaji...
Udongo huu sio kwamba ni kama udongo wa kawaida useme wanachota tuu huko ulaya wanatuletea.Sio kila mkulima ana muda wa kutosha kuandaa udongo huu wa kawaida ili kuwa na sifa zote za udongo zinazohitajika ili kuota na kukua kwa miche.
Hakuna kitu chochote kinachoruhusiwa kutumika hapa nchini kwenye kilimo bila kufanyiwa kwanza utafiti.Kifupi udongo huu sio kwamba ni kama udongo wa kawaida useme wanachota tuu huko ulaya kisha wanatuletea.Swala ni kwamba kama wewe una muda wa kuandaa udongo wako wa kupandia ni sawa ila kuna...
Iko hivi boss tunaposema 3500 kwa kilo hiyo ni bei ya reja reja ila ukinunua kwa jumla yaani begi zima la kilo 50 unapata punguzo la sh.5000 badala ya 175000/= Tsh unanunua kwa 170000/= Tsh.
Faida kuu tatu za udongo maalum wa kupandia miche uitwao Peat Moss
PEAT MOSS NI NINI?
Peat moss ni udongo maalumu unaotumika kwa ajili ya kuandaa miche hasa kwenye upande wa miche ya mboga mboga na matunda kama vile nyanya,hoho,papai n.k Udongo huu huzalishwa katika nchi za ulaya kama vile...
PEAT MOSS NI NINI?
Peat moss ni udongo maalumu unaotumika kwa ajili ya kuandaa miche hasa kwenye upande wa miche ya mboga mboga na matunda kama vile nyanya,hoho,papai n.k Udongo huu huzalishwa katika nchi za ulaya kama vile Norway,Finland na husambazwa duniani kote ili utumike katika shughuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.