Alafu tukishapata namba inatusaidia nini??
Kwani namba ya simu ni siri siku hizi?? Mbona easy tu kuipata wala sihitaji nikupe vocha.
Una mzunguko wa zaidi ya watu 500 wenye namba yako ya simu (ndugu, marafiki, co-workers, marafiki wa marafiki zako, uliosoma nao) unahisi kwenye mzunguko huo wote...