Sehemu inayofuata,
Evah hakuwa na chakusema alibaki akijiwazia moyoni, Sasa kwato kwangu mimi nimekosea nn? Mmmh namuachia Mungu wangu.. Lakini mbona SINA KOSA lolote nililofanya mimi. Aliachana na mawazo hayo kituo kilichofuata na yeye alishuka.
Alipokua akishuka alihisi maumivu...
ilipoishia jana, iliiishia konda kasema kile alichokiona kwa kijana Yule aliyeshuka....
Evah maneno ya konda yalimfanya awaze sana haswa zile kwato nakujisemea"mmh kwato, sasa kwato kwangu zinatafuta nini?, mbona mimi sijawahi gombana na mtu yeyote", alipokua katika ugomvi huo wa peke yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.