Natumia jina la AFYA YA MAMA NA MTOTO, kwa sababu hicho ndo kitu ninachodeal nacho, nimeanzisha magrup ya facebook instagram na youtube channel inayoenda kwa jina hilo la Afya ya mama na mtoto,lengo ni kuelimisha jamii kuhusu mama na mtoto, ila kwa sasa nipo hosptal ya Rufaa KCMC mkoani...
Ni mbaya, kwasababu ata mikono ya mwanaume pia imebeba bacteria tena mbaya saiv unakuta mtu katoka kushika machuma ya daladala alafu anakuja ata ajaosha anamweka mwenzake vidole
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.