Recent content by Afya consultant

  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, mhitimu wa Diploma ya Clinical Medicine kusoma Bachelor of Procurement and supply chain management (Mzumbe) ina tija kwenye soko la ajira?

    Yeye ana gpa ya 3.3 program za afya aliomba ila hakubahatika kupata zote akapata hiyo tu kwahiyo kabaki bila option maana anasema hii option aliiweka tu third choice kwa upande wa chuo cha mzumbe ila hakuwa na mpango nayo na ndo imetokea amepata hiyo sasa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, mhitimu wa Diploma ya Clinical Medicine kusoma Bachelor of Procurement and supply chain management (Mzumbe) ina tija kwenye soko la ajira?

    Habari zenu, Mdogo wangu ni muhitimu wa Diploma ya Clinical Medicine na amechaguliwa Bachelor of Procurement and Supply Chain Management Mzumbe. Wataalamu mbalimbali mnaonaje mchanganyiko huu kwenye soko la ajira? Je, alishindwa kuomba program za Afya na Sayansi? Yeye ana gpa ya 3.3 program...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Suluhisho salama la asili kuhusu bawasiri

    Tunalo Suluhisho Salama na la Kiasili Tunasaidia kuondoa changamoto ya bawasiri bila upasuaji, kwa kutumia virutubisho asilia vilivyothibitishwa ambavyo vinasaidia Kuyeyusha kinyama: Kusaidia kusinyaa na kuondoka kwa kinyama kilichojitokeza (kwa bawasiri ya nje). Kulainisha choo: Kuondoa tatizo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu suluhisho la maumivu ya viungo, magoti na mgongo

    Tunalo Suluhisho la Kiasili na Uhakika: Tunasaidia kurejesha afya ya mifupa na viungo kupitia virutubisho asilia vilivyothibitishwa ambavyo vinasaidia: Kurejesha uteute (lubrication): Kwenye maungio ya mifupa ili kuzuia kusagana. Kurutubisha na kuimarisha mifupa: Kupunguza maumivu na kuvimba...
Back
Top Bottom