Recent content by Afro Kinky

  1. A

    JamiiForums Tanzania Makontena yaliyokamatwa jana na TRA yabainika yalilipiwa kodi

    kazi ya kukimbizana na makontainer barabarani ni kujidhalilisha zipo issues kubwa zinazo angamiza nchi hii kama mikataba mibovu ya madini aende huko.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

    Huyo aliekua anafanya sherehe miaka yote na sherehe zingine za kupongezwa c huyo mwenyekiti wenu wa msoga alikua anarusha hadi ndege za kivita zimpigie saruti uwanja wa Taifa.alikua Lowassa,Mbowe au Lissu?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwenye Jamhuri mengine hayawezekani, Tundu Lissu anafahamu pia

    Ndugu zangu..watu walipotaka serikali tatu kwenye rasimu ya katiba ya Warioba wabunge wa CCM wa Bunge lililokua la katiba walipiga sana na kuikanyaga
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo tutakavyomkwamisha Dk. Magufuli

    Tunataka haki..Tume itangaze matokeo halali siyo ya kupika kula zote wanazosema zimekataliwa nani kazikataa? watu tulijitokeza kwa wingi sana kupiga kura vituoni,kula zetu zikwenda wapi? 7 million..
Back
Top Bottom