Hapo sasa, ukishea na mmoja tu inakuwa vizuri.
Ila wengi wa rafiki zetu ni watu wanaotuona kuwa tunatoa huruma. Na wao ndio watu wanaostahili kukushauri.
Huo sio urafiki na maana yake, rafiki sio kuwa et bila mimi asingefika pale!!!
Rafiki yako awe ni mtu ambaye hajioni bora kuliko wewe...
Wanasema kuna madhara ya kukaa na mambo magumu bila mshauri!!
Hata kama hawaamiki ila unahitaji mtu wa kumwambia....
Kuna njia mbalimbali unaweza kutumia ukiona watu hawana kifua,
Tumia kama unamsimulia stori ya mtu fulani alafu usikie ushauri wake utakusaidia...
Kuna mambo mengine ni magumu...
Watu wengi huwa tunaomba ushauri kwa watu mbalimbali ili watusaidie pale tunapohitaji, lakini ikitokea tumegombana na wale waliotupa ushauri, tunazikuta siri zetu nje ya hapo.
Sasa wewe unatumia njia gani kumpata mshauri anayefaa?
Kuna baadhi huwa tunawachukua marafiki kama washauri ila kibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.