Mimi nakuletea mpaka ulipo kama upo Dsm ila nauli unalipia wewe, na kitu cha msingi uwe unajua size ya kiatu unachotaka kununua na rangi ili kuondoa usumbufu
Sawa mkuu i hope One day nitakuja na picha za Jeans sababu naogopa kuchanganya kama nikipost saa basi ziwe saa pekee yake, na siku Niki post jeans zitkua ni jeans pekee yake
😂😂 mkuu sisi kama africanbusiness2019 tunauza vitu kama saa, cheni na viatu pamoja na Jeans za kike na za kiume, na malengo yetu ni kuja kua moja ya brand kubwa hapa bongo i Hope mkuu uta tuunga mkono katika hizi harakati
Digital smart watch,
Unaweza tumia kama simu pia zina watsap na unaweza install apps nyingine, bei ni sh 35000.
Dar es Salaam tunakufikishia mpaka ulipo na mikoani tunatuma.
Contact 0715621701
Saa za kike, material ni Stainless Steel, zinatumia betrii na hazipauki, warranty ni mwaka mmoja.
Dar ed salam tunakufikishia mpaka ulipo na mikoani tunatuma.
Bei ni sh 35000
Contact 0715621701
Africanbusiness2019:
Saa brand ni megir chronograph
Material ni genuine Italian leather
Water resistant pia ni min cycle
Price ni sh 80000
DSM tunakuletea mpaka ulipo na mikoani tunatuma,warranty zetu ni mwaka mmoja,
Contact 0715621701
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.