Recent content by afrelinda23

  1. A

    JamiiForums Tanzania Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

    si ndo hapo, mi wangu mzinzi anakula kila housegirl anaekuja, wake za majirani anapita nao, ana gubu selfish mpaka basi, tunaishi kama majirani isiwe kesi ebooooo.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    ulihisi utapigiwa makofi humu, kutembea na mke wa mtu ni ufala ni wanaume wasiokamilika ndo wanafanya mambo kama yako.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Huyu MUngu unaemtaja bila sababu ni yupi, Mungu wa mbinguni asingekufanya ufanye uzinzi in the first place. Achana na mungu wetu we nenda kaabudu miungu wako wengine.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    jamaa alijua atasifiwa na wana, pyuuuuu ukaharibu familia ya mwenzio kisa nyege tu, watoto wa jamaaa watakuita wewe mama mbwa kabisa
Back
Top Bottom