Recent content by AfisaUbashiriMwandamizi

  1. AfisaUbashiriMwandamizi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo alhamisi hakuna mechi ya maana, bora kutunza mtaji kwa ajili ya weekend ijayo. Ila kanjibai hajazima simu, ukimtumia pesa inaingia. Ila leo naona kabisa hakuna option ya withdraw toka kwa kanjibai
  2. AfisaUbashiriMwandamizi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ile code ya over 1.5 goals ya weekend iliyopita uliifuata? Ilitoa au haikutoa? Hope sasa umeamini codes za humu hutoa pia.
  3. AfisaUbashiriMwandamizi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa mbinde sana, Celtic ashakuwa mtoto saa hizi. Halali na pesa hasa akiwa away.
  4. AfisaUbashiriMwandamizi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naona kashinda jioni kabisa. Jana nilishauri huyu Celtic kwa sasa apumzishwe kwenye mikeka ya kimkakati. Akiwa away ndiyo hatabiriki kabisa
  5. AfisaUbashiriMwandamizi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hizo timu tatu za chini sizijui, zipo ligi ambazo sizifuatilii matokeo yake. Why umeipa Monaco GG - yes wakati anacheza away na timu ambayo nahisi haipo ligi kuu? Japokuwa France timu ya uhakika ni PSG pekee, bora ujilipue tu mpe Monaco win.
  6. AfisaUbashiriMwandamizi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyo mjinga Celtic mpe win au draw. Hakawii toa draw huyu, mechi mbili za nyuma kawa na matokeo ya kustaajabu. Nimemdrop kabisa mkeka wa weekend ijayo.
  7. AfisaUbashiriMwandamizi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mechi za Aston Villa na Heart nahisi zitachana huu mkeka. Umezipa option ngumu.
  8. AfisaUbashiriMwandamizi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwani huko live score spurs na celtic wamefungwa? Naona watu washawaanzishia matusi hapa
  9. AfisaUbashiriMwandamizi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Soma sms za toka asubuhi leo jumamosi, ibashiri mwingi umewekwa humu.
  10. AfisaUbashiriMwandamizi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wewe ipe Girona bado chance ya kuwin au draw
  11. AfisaUbashiriMwandamizi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    FT ndiyo msema kweli, tusubiri mechi zote ziishe.
  12. AfisaUbashiriMwandamizi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huu utabiri umedanganya kabisa, hakuna namna Cologne akashinda. Cologne asipofungwa atatoa draw. No win kwa Cologne. Pia matokeo ya sare yote uliyoyatabiri siyo kweli, kwenye pre match betting kutabiri sare huwa kazi sana. Simba lazima ashinde.
  13. AfisaUbashiriMwandamizi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pamoja na mahesabu mazuri pia. Kuna combination mfano 1st/2nd half GG/GG utaicheza miaka 100 kwa angalau mechi 5 na haitatoa kabisa.
Back
Top Bottom