Habari, Sisi ni Affluence Training Company Limited tunajishughulisha na huduma za mafunzo na ushauri "consultancy" katika Sekta ya Microfinance na Ushirika (SACCOS). Tunapenda kuwatangazia kuwa tunanafasi za kujitolea kwa watu wenye kiwango cha elimu ya shahada na kuendelea, uelewa katika...
Habari, Affluence Training Company Limited inajishughulisha na utoaji huduma za mafunzo katika sekta ya Benki, Microfinance na Ushirika; kama tulivyotangaza nafasi za kazi mwezi Februari, 2018 bado tunahitaji wafuatao;
1: DEREVA Nafasi 1:
Awe mzoefu wa kuendesha gari manual na automatic ndani...
Habari,
Bado tuna nafasi za vijana 5 kufanya kazi ya kusambaza barua ndani ya Jiji la Dar Es Salaam kuanzia siku ya Jumanne tarehe 27 Februari 2018 kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Sifa awe kijana anayejua maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam na kuna baadhi ya maeneo yanahitaji kutembea...
Dear Friends,
We urgently need 5 ladies and 5 gentlemen for a four (4) days (from Friday 23rd, 26th, 27th and 28th February 2018) temporary job. Nature of the job is making phone calls to our clients from our database and dispatching some letters around Dar Es Salaam City. Please interested...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.